MABINGWA
watetezi wa ligi ya mabingwa barani ulaya, Real Madrid watachuana na
wapinzani wao wakubwa wa soka la Hispania, Atletico Madrid katika mechi
ya robo fainali ya UEFA.
Timu hizi zilikutana katika fainali ya mwaka jana (2014), Real Madrid wakisubiri dakika 120 kuwapiga vijana wa Diego Simeone.
Real walifuzu hatua ya robo
fainali kwa kuichapa Schalke ya Ujerumani, wakati Atletico walisubiri
mpaka mikwaju ya penalti kuwafunga Bayern Leverkusen.
DROO HII HAPA…..
|
No comments:
Post a Comment