Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akisoma Muswada wa Sheria ya Udhibiti na Umamizi wa Dawa za Kulevya wa mwaka 2014 , Bungeni mjini Dodoma Machi 24, 2015. |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiteta na Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba
Bungeni mjini Mjini Dodoma Machi 24, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Machi 24, 2015. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima. |
No comments:
Post a Comment