Raisi wa Mahakama ya Afrika ya
Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani Akihutubia mkutano wa Haki za Binadamu uliofanyika jana jijini Arusha lengo la kuimarisha haki za
binadamu na kushirikisha taasisi binafsi na za serikali katika kuisaidia
Mahakama hiyo .
Picha na Mahmoud Ahmad Arusha.
|
No comments:
Post a Comment