DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Sunday, March 22, 2015

GIROUD AIPAISHA ARSENAL EPL

MABAO mawili ya Olivier Giroud, dakika ya 24′, 28′ yametosha kuipa Arsenal ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Newcastle United kwenye mechi ya ligi kuu England. Bao la Newcastle lilifungwa na Moussa Sissoko katika dakika ya 49′. Ushindi huu kwa Arsenal unakuja baada ya kutolewa UEFA Jumanne ya wiki hii kwa wastani wa mabao 3-3 dhidi ya Monaco. Mechi ya kwanza walifungwa 3-1 Emirates na mechi ya pili wakashinda 2-0 nchini Ufaransa na Monaco wakasonga kwa faida ya goli la ugenini.

MATOKEO YA MECHI ZILIZOMALIZIKA England – Premier League Machi 21

FT Manchester City 3 – 0 West Bromwich Albion
FT Aston Villa 0 – 1 Swansea City
FT Newcastle United 1 – 2 Arsenal
FT Southampton 2 – 0 Burnley
FT Stoke City 1 – 2 Crystal Palace
FT Tottenham Hotspur 4 – 3 Leicester City
FT West Ham United 1 - 0 Sunderland

No comments:

Post a Comment