Umoja wa nchi za ulaya EU wampa tuzo
Fareed Kubanda a.k.a Fid Q ya CHAMPION of the 2015 Europe Year for
Development in Tanzania ,Pia Fid Q alifunguka kwenye Amplifaya ya
Cloudsfm nakusema amefarijika sana kupata Tuzo hiyo kwani itampa hamasa
ya kufanya kazi kwa bidii zaidi.
Pia Fid Q alisema amepata Tuzo hiyo
kutokana na kujitolea kusaidia vijana katika jamii ili waache miadarati
na japo kuwa darasa kwa sasa limefungwa ila anampango wa kulifungua tena
upya darasa hilo.
No comments:
Post a Comment