Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Nchi Maendeleo,Biashara
na Ushirikiano wa Ireland Bw.Sean Sherlock wakati alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao. Picha na Ikulu Zanzibar.
|
No comments:
Post a Comment