Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia mtoto Irene ambaye nyumba yao imeathiriwa na mafuriko huko Buguruni Mnyamani leo. |
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete
wakipita katika mitaa mbalimbali ya Buguruni leo wakati wa zoezi la
kuwafariji waathirika wa mafuriko huko Buguruni Mnyamani leo.
(picha na Freddy Maro)
|
No comments:
Post a Comment