DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Tuesday, March 24, 2015

BALOZI LU YOUQING NA MHE. MASELE WAZUNGUMZIA MKUTANO WA JUKWAA LA VIONGOZI VIJANA AFRIKA NA CHINA

Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Dr. Lu Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia Mkutano wa Kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.
Balozi wa China hapa nchini Mhe. Dr.Lu Youqing akipeana mkono na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele mara baada ya kikao chao kufikia tamati ambapo walijadili hatua walizozifikia katika kuandaa mkutano huo wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.
Balozi wa China hapa nchini Mhe. Dr. Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari (hayupo pichani) wakati wa kujadili mustakabali wa uandaaji wa mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha. (Kushoto) ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele ambaye ni mwenyekiti wa maandalizi ya mkutano huo.

No comments:

Post a Comment