Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya
Jamii, Said Mtanda (katikati) akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa Semina
iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya Vijana, Kamati ya Maendeleo ya
Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana
Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe
27/03/2015. Wengine ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Dkt. Fenella Mukangara (kulia) na Katibu wa Kamati ya Maendeleo ya
Jamii, Hanifa Masaninga (kushoto). Semina hii imefanyika tarehe
23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment