Zifuatazo ni picha za matukio
mbalimbali kwenye red carpet wakati wa sherehe ya siku ya wanawake
duniani iliyowakutanisha wanawake kutoka kila kona ya visiwani Zanzibar
ambayo iliandaliwa na Kikundi cha Wanawake cha Zanzibalicious na
kufanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya hoteli ya Bwawani. |
No comments:
Post a Comment