Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, na Teknolojia Mhe. January Makamba
(kulia)pamoja na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe (kushoto) wakifurahi pamoja na Walimu
na Wanafunzi kutoka Shule ya Msingi ya Dar es Salaam Independent nje ya Bunge mara baada ya kikao
cha bunge, tarehe 18/03/2015 Mjini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment