Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi 'Sugu'.
Bongo siyo nchi pekee ambayo suala
hilo limejitokeza, bali hata kwenye nchi mbalimbali za Afrika, Ulaya na
Marekani limewahi kutokea ambapo kwa nyakati tofauti mastaa wakubwa
wamewahi kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali huku wengine wakishindwa
na wengine kushinda nafasi za kuwakilisha wananchi katika nyadhifa
mbalimbali. Wafuatao ni baadhi ya mastaa wakubwa wa majuu ambao wamewahi
au wanaendelea kushiriki kwenye siasa:- |
No comments:
Post a Comment