Mashabiki wa Yanga roho safiiiiii... baada ya ushindi wa 5-1.
MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya
Tanzania Bara, Yanga, wameicharanga FC Platinum ya Zimbabwe mabao 5-1
katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Mchezo wa mzunguko wa kwanza wa kombe hilo kwa Yanga baada ya awali kuwatoa BDF XI ya Botswana kwa mabao 3-2.
Wafungaji wa mabao ya Yanga ni Salum
Telela, Haruna Niyonzima, Amissi Tambe na Mrisho Ngassa (2) huku bao
pekee la FC Platinum likiwekwa wavuni na Walter Musona.CHANZO: GLOBALPUBLISHERS. |
No comments:
Post a Comment