DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, March 16, 2015

MOTO WAZUKA VYUMBANI MABIBO HOSTEL DSM LEO

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoishi kwenye Hostel za Mabibo,wakiangalia moja ya majengo ya Hostel hizo likiwa limeshika moto asubuhi hii.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na msaada wa haraka unahitajia ili kuokoa mali zilizopo kwenye Jengo hilo.

Baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakiishi kwenye Jengo hilo wakiwa nje, huku wakiwa hawajui la kufanya wakati moto huo ukiendelea kuwaka. kwa kweli hakuna anaeamini kwani ni tukio la ghafla sana.

No comments:

Post a Comment